History & cultureMISALABA MEDIA Ndejembi akubali kuwa mlezi wa mpira wa Kikapu

Ndejembi akubali kuwa mlezi wa mpira wa Kikapu

Long-form3:00GamingPublished Oct 19, 2026, 3:32 PM · 17h ago
Views
64
+0 views/hour
Views / hour now
0
measured 21m ago
Peak views / hour
—
 
First 24 hours
—
not tracked from upload
Engagement
4.7%
likes + comments / views
Likes
3
4.7% of views
Comments
0
0.00% of views
Est. ad revenue
$0–$1
lifetime, $4–9 RPM

Checked every 30 min while the video is this age · last check 21m ago · next in 8 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.

Avg views / day
64
since upload
vs channel median
0.6×
this video's views ÷ the channel's usual
Rank in channel
#15
of 25 tracked

Views over time

3 readings

Total views Views gained per hour

Description

Ndejembi, amekubali ombi la Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, la kuwa mlezi wa mchezo wa mpira wa kikapu nchini. Ndejembi ametoa kauli hiyo alipokuwa mgeni rasmi katika fainali ya mpira wa kikapu kati ya Dar City na Stein Warriors iliyofanyika katika Uwanja wa International School of Tanganyika (IST), Masaki, Dar es Salaam. Amesema anatamani kuona siku moja ushindani unaoshuhudiwa katika soka kati ya Simba, Yanga, Azam FC na timu nyingine ukihamia pia kwenye mpira wa kikapu ili kuukuza mchezo huo nchini. “Lengo langu ni kuona siku moja mpira wa kikapu unapiga hatua kubwa kama mpira wa miguu ulivyo kwa Yanga na Simba. Hili litawezekana ikiwa wadhamini watajitokeza kuwekeza na vijana wataonyesha utayari wao,” amesema Ndejembi. Amesema amekubali kuwa mlezi wa mchezo huo kwa kuwa anaupenda na anatamani kuuona ukipiga hatua kubwa kama ilivyo kwa michezo mingine nchini. Awali, Makonda alisema moja ya malengo yake ni kuona kunajengwa viwanja vikubwa vitatu vya michezo (Arena) vitakavyowezesha kuandaliwa kwa mashindano mbalimbali.

Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.