History & cultureMISALABA MEDIA Mwenyekiti wa Mtaa apigana ngumi na wananchi wake Arusha

Mwenyekiti wa Mtaa apigana ngumi na wananchi wake Arusha

Long-form2:56GamingPublished Oct 19, 2026, 8:51 PM · 12h ago
Views
22
+0 views/hour
Views / hour now
0
measured 23m ago
Peak views / hour
—
 
First 24 hours
—
not tracked from upload
Engagement
0.0%
likes + comments / views
Likes
0
0.0% of views
Comments
0
0.00% of views
Est. ad revenue
$0–$0
lifetime, $4–9 RPM

Checked every 30 min while the video is this age · last check 23m ago · next in 7 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.

Avg views / day
22
since upload
vs channel median
0.2×
this video's views ÷ the channel's usual
Rank in channel
#21
of 25 tracked

Views over time

3 readings

Total views Views gained per hour

Description

Mwenyekiti wa Mtaa wa Mureti, Kata ya Mureti Jijini Arusha, Bw. Dominic Kivuyo, anadaiwa kuhusika katika tukio la kupigana na mwananchi wakati wa msiba. Kwa mujibu wa mashuhuda, Mwenyekiti huyo aliitwa msibani kusuluhisha mgogoro wa kifamilia ulioibuka baada ya kifo cha mwanamume mmoja, ambapo ndugu wa marehemu wanadaiwa kutaka kumnyima haki zake mjane wa marehemu. Wananchi waliodai kujitokeza kumtetea mjane huyo wanasema hawakuridhishwa na namna Mwenyekiti alivyolishughulikia suala hilo, wakimtuhumu kuegemea upande wa wanaodaiwa kumdhulumu mjane. Inadaiwa kuwa hali ilibadilika baada ya mwananchi mmoja kumwambia Mwenyekiti huyo kuwa hawampendi, kauli iliyodaiwa kumkasirisha na kusababisha vurugu na kurushiana ngumi. Tukio hilo lilizua taharuki msibani huku wananchi wakijitahidi kuwatenganisha wawili hao kama inavyoonekana kwenye video iliyosambaa mitandaoni.

Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.