History & cultureBaharia TVHAKIKISHENI MNAONDOA MISONGAMANO KWENYE MAHABAUSU ZETU - WAZIRI ULEGA

HAKIKISHENI MNAONDOA MISONGAMANO KWENYE MAHABAUSU ZETU - WAZIRI ULEGA

Long-form3:46News & PoliticsPublished Oct 13, 2026, 7:25 PM · 6d ago
Views
35
+0 views/hour
Views / hour now
0
measured 12m ago
Peak views / hour
—
 
First 24 hours
—
not tracked from upload
Engagement
0.0%
likes + comments / views
Likes
0
0.0% of views
Comments
0
0.00% of views
Est. ad revenue
$0–$0
lifetime, $4–9 RPM

Checked every 3 h while the video is this age · last check 12m ago · next in 167 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.

Avg views / day
5
since upload
vs channel median
0.1×
this video's views ÷ the channel's usual
Rank in channel
#20
of 20 tracked

Views over time

4 readings

Total views Views gained per hour

Description

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Abdallah Hamis Ulega, ameelekeza utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande pamoja na maelekezo ya Viongozi Wakuu wa Serikali, akiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuendelea kufanya kaguzi katika maeneo ya Mahabusu na Magereza kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto za kijinai ili kuendelea kuhakikisha hakuna msongamano wa Mahabusu na pamoja na kuwawezesha watuhumiwa wanaostahili kupata dhamana kwa mujibu wa sheria. ​Waziri Ulega ametoa maelekezo hayo leo, Oktoba 13, 2026, wakati wa kikao cha kujitambulisha katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Njedengwa Jijini Dodoma, ambapo amesisitiza umuhimu wa watendaji kutekeleza majukumu yao kwa bidii, weledi na ufanisi ili kuimarisha upatikanaji wa haki nchini. ​Amesisitiza kuwa ukaguzi wa mahabusu unapaswa kufanyika kwa kasi na ufanisi nchini kote ili kubaini changamoto zinazochangia msongamano huo, kufuatilia hatua za kesi za watuhumiwa na kuchukua hatua stahiki kwa mujibu wa sheria. ​Ameelekeza kesi zinazostahili kufikishwa mahakamani ziwasilishwe kwa wakati, huku watuhumiwa wanaokidhi vigezo vya kupata dhamana wakipatiwa haki hiyo bila ucheleweshaji usio wa lazima, kwa kuzingatia masharti ya sheria husika. ​Waziri Ulega ameeleza kuwa utekelezaji wa maelekezo hayo utasaidia kupunguza msongamano wa mahabusu, kupunguza malalamiko ya wananchi na kuimarisha upatikanaji wa haki kwa wakati.  #BahariaNews

Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.