History & cultureBaharia TVSERIKALI YAFUNGUA TENA DARAJA LA IPOGORO BAADA YA MATENGENEZO YA SH MILIONI 650.

SERIKALI YAFUNGUA TENA DARAJA LA IPOGORO BAADA YA MATENGENEZO YA SH MILIONI 650.

Long-form3:50News & PoliticsPublished Oct 14, 2026, 3:18 PM · 5d ago
Views
226
+0 views/hour
Views / hour now
0
measured 1h ago
Peak views / hour
—
 
First 24 hours
—
not tracked from upload
Engagement
0.0%
likes + comments / views
Likes
0
0.0% of views
Comments
0
0.00% of views
Est. ad revenue
$1–$2
lifetime, $4–9 RPM

Checked every 3 h while the video is this age · last check 1h ago · next in 105 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.

Avg views / day
39
since upload
vs channel median
1.0×
this video's views ÷ the channel's usual
Rank in channel
#11
of 20 tracked

Views over time

4 readings

Total views Views gained per hour

Description

​SERIKALI mkoani Iringa imefungua tena sehemu ya barabara katika Daraja la Ipogoro, lililopo kwenye Barabara Kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM), baada ya kukamilika kwa matengenezo yaliyodumu kwa miezi miwili na kugharimu Sh milioni 650. ​Matengenezo hayo yamelenga kuboresha mfumo wa upitishaji maji ili kuzuia maji kujaa na kupita juu ya daraja, hasa wakati wa mvua nyingi, hatua inayolenga kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara na kurahisisha shughuli za usafirishaji. ​Akizungumza katika eneo la mradi huo, Kata ya Ruaha, Manispaa ya Iringa, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema kufunguliwa kwa sehemu hiyo ya barabara ni hatua muhimu kutokana na nafasi ya daraja hilo katika shughuli za kiuchumi na usafirishaji. ​Amesema kukamilika kwa matengenezo hayo kutasaidia kuboresha upatikanaji wa huduma za usafiri na kurahisisha usafirishaji wa watu na bidhaa kupitia barabara hiyo muhimu inayounganisha maeneo mbalimbali ya nchi. ​Kwa upande wake, mwakilishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Iringa, Mhandisi Michael Mwandule, amesema matengenezo ya daraja hilo yamegharimu Sh milioni 650. ​Naye Afisa Mtendaji wa Kata ya Ruaha, Fuad Mwasiposya, ameipongeza Serikali kwa kuchukua hatua za kutatua changamoto iliyokuwepo katika daraja hilo, akieleza umuhimu wa maboresho hayo kwa wakazi wa eneo hilo na watumiaji wengine wa barabara. #BahariaNews

Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.