Stories & narrationSIMULIZI ZA SUMMY WALIMFUNGIA ILI ASIONEKANE NA MWANAFALME, LAKINI MWISHO AKAMCHAGUA YEYE! πŸ˜±πŸ‘‘ | ADANA

WALIMFUNGIA ILI ASIONEKANE NA MWANAFALME, LAKINI MWISHO AKAMCHAGUA YEYE! πŸ˜±πŸ‘‘ | ADANA

Long-form10:12Film & AnimationPublished Oct 9, 2026, 7:50 AM Β· 1w ago
Views
7,644
+20 views/hour
Views / hour now
20
measured 2h ago
Peak views / hour
20
2h ago
First 24 hours
β€”
not tracked from upload
Engagement
β€”
likes + comments / views
Likes
β€”
hidden
Comments
11
0.14% of views
Est. ad revenue
$8–$23
lifetime, $1–3 RPM

Checked every 12 h while the video is this age Β· last check 2h ago Β· next in 564 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.

Avg views / day
656
since upload
vs channel median
1.1Γ—
this video's views Γ· the channel's usual
Rank in channel
#9
of 21 tracked

Views over time

2 readings

Total views Views gained per hour

Description

Adana alikuwa kijakazi maskini mwenye kipaji kikubwa cha kucheza kuliko mabinti wote waliokuwa matajiri na warembo katika ufalme wao. πŸ‘‘πŸ’” Siku moja, tamko lilitolewa kwamba kutakuwa na mashindano makubwa ya dance, na msichana ambaye angeonekana bora zaidi angepewa nafasi ya kuolewa na Mwanamfalme. Lakini maboss zake walijua siri moja kubwaβ€”Adana alikuwa na kipaji cha ajabu cha kucheza. Wakaamua kumfungia ndani ili asionekane mbele ya Mwanamfalme. 😭 Hata alipowaomba wamruhusu aende nyumbani kumuona mama yake aliyekuwa mgonjwa, walimkataa. Lakini baada ya mashindano, mambo yakaanza kubadilika. Wasichana wanane walichaguliwa kwenda kuishi ndani ya kasri ili Mwanamfalme afanye mchujo wake. Na siku moja, Mwanamfalme alimuona Adana akiwa bustanini... Je, nini kilitokea baada ya hapo? 😱❀️ Tazama hadithi hii hadi mwisho ujue kwa nini Mwanamfalme alimchagua Adana kati ya warembo wote wanane! πŸ‘‘β€οΈ Usisahau KUSUBSCRIBE, LIKE, COMMENT na SHARE ili usikose hadithi nyingine nzuri. #Adana #HadithiZaKifalme #HadithiZaKiswahili #AfricanStories #SwahiliStories #Hadithi #Mwanamfalme #Mapenzi #HadithiYaMapenzi #SummyStories

Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.