Stories & narrationSIMULIZI ZA SUMMY WALIMFUNGIA ILI ASIONEKANE, LAKINI MWANAMFALME ALIMCHAGUA ADANA KATI YA WAREMBO SABA.
WALIMFUNGIA ILI ASIONEKANE, LAKINI MWANAMFALME ALIMCHAGUA ADANA KATI YA WAREMBO SABA.
7.9× channel medianLong-form20:51Film & AnimationPublished Oct 13, 2026, 7:50 AM · 1w ago
Views
52,588
+712 views/hour
Views / hour now
712
measured 2h ago
Peak views / hour
712
2h ago
First 24 hours
—
not tracked from upload
Engagement
—
likes + comments / views
Likes
—
hidden
Comments
58
0.11% of views
Est. ad revenue
$63–$189
lifetime, $1.2–3.6 RPM
Checked every 12 h while the video is this age · last check 2h ago · next in 570 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.
Avg views / day
6.9K
since upload
vs channel median
7.9×
this video's views ÷ the channel's usual
Rank in channel
#2
of 21 tracked
Views over time
2 readings
Total views Views gained per hour
Description
Baada ya Adana kunyimwa nafasi ya kushiriki mashindano ya kucheza, hatimaye maisha yake yanaanza kubadilika anapoingia ndani ya kasri la Mwanamfalme. Lakini safari yake ya kuelekea kwenye maisha ya kifalme haikuwa rahisi! 👑❤️
Miongoni mwa mabinti wanane waliochaguliwa, alikuwepo binti wa tajiri mkubwa sana nchini. Baada ya kutokuchaguliwa, baba yake alitumia pesa ili binti yake apate nafasi ya kujiunga na warembo saba waliokuwa wamechaguliwa.
Alipoingia kasrini, alianza kujitamba kwa mali na utajiri wake. Esther, mmoja wa maboss wa Adana, alipoona hali hiyo, aliamua kumpeleka Adana kasrini ili amsaidie katika mashindano mbalimbali.
Lakini jambo lisilotarajiwa likatokea! Mwanamfalme alianza kumpenda Adana na kumfuata kila mahali. Adana alijaribu kumkimbia, lakini kadiri siku zilivyopita, wawili hao wakazoeana na kuwa karibu sana.
Ukaribu wao ulianza kuwashangaza na kuwaumiza warembo wengine waliokuwa wakipambania nafasi ya kuwa mke wa Mwanamfalme.
Je, Adana ataweza kushinda mashindano hayo? Je, warembo wengine watakubali kuona kijakazi akipendwa na Mwanamfalme kuliko wao?
🎬 Tazama hadithi hii hadi mwisho ili ujue kitakachotokea!
❤️ Usisahau:
👍 Kuweka LIKE
💬 Kuandika maoni yako
🔔 KUSUBSCRIBE na kuwasha kengele ya taarifa
📲 Kushare video hii na marafiki zako
Karibu kwenye hadithi nyingine tamu yenye mapenzi, wivu, usaliti na maisha ya kifalme!
#Adana #HadithiZaKiswahili #HadithiZaKifalme #HadithiZaMapenzi #Mwanamfalme #Kijakazi #AfricanStories #SwahiliStories #AfricanFairyTales #HadithiZaKusisimua #MapenziYaKifalme #RoyalLoveStory #SummyStories
Tags
Adanahadithi ya AdanaAdana na Mwanamfalmehadithi za Kiswahilihadithi za kifalmehadithi za mapenzihadithi za kusisimuahadithi za KiafrikaAfrican storiesSwahili storiesAfrican fairy talesSwahili fairy taleshadithi ya kijakazikijakazi na mwanamfalmehadithi mpya za KiswahiliSummy Stories
Details
- Published
- Oct 13, 2026, 7:50 AM
- Length
- 20:51 (1,251 s)
- Format
- Long-form
- Category
- Film & Animation
- Audio language
- SW
- Quality
- HD
- Captions
- No
- Made for kids
- No
- Licensed content
- Yes
- Video ID
- zzdF82ItHgg
More from SIMULIZI ZA SUMMY
MTOTO WA MWANAUME TAJIRI ALIKUWA AKIMWITA HOUSE GIRL “MAMA” 😱💔 | SIRI YA VIFO VIWILI | EPISODE 513.6K views · 15h ago · +283/h
MTOTO WA MWANAUME TAJIRI ALIKUWA AKIMWITA HOUSE GIRL "MAMA" EPISODE 01-0477.4K views · 2d ago · +1.5K/h
MWANAFALME ALIMCHAGUA ADANA, LAKINI MFALME AKAAMURU AUAWE! 😱👑| SEHEMU YA 319.1K views · 4d ago · +298/h
MTOTO WA MWANAUME TAJIRI ALIMWITA HOUSE GIRL “MAMA” 😱 | SIKU YA NEEMA NA MUSA — EPISODE 413.7K views · 6d ago · +162/h
MTOTO WA MWANAUME TAJIRI ALIKUWA AKIMWITA HOUSE GIRL “MAMA” 😱💔 | EPISODE 3.13.3K views · 1w ago · +23/h
WALIMFUNGIA ILI ASIONWE NA MWANAFALME, LAKINI MWISHO AKAMCHAGUA YEYE! 😱👑 | ADANA 0215.6K views · 1w ago · +50/h
MTOTO WA MWANAUME TAJIRI ALIMWITA HOUSE GIRL “MAMA” 😱 | JINA LILILOMTISHA MUSA — EPISODE 27K views · 1w ago · +33/h
WALIMFUNGIA ILI ASIONEKANE NA MWANAFALME, LAKINI MWISHO AKAMCHAGUA YEYE! 😱👑 | ADANA7.6K views · 1w ago · +20/h
Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.