Stories & narrationSIMULIZI ZA SUMMY WALIMFUNGIA ILI ASIONWE NA MWANAFALME, LAKINI MWISHO AKAMCHAGUA YEYE! ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ‘‘ | ADANA 02

WALIMFUNGIA ILI ASIONWE NA MWANAFALME, LAKINI MWISHO AKAMCHAGUA YEYE! ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ‘‘ | ADANA 02

2.3ร— channel medianLong-form10:39Film & AnimationPublished Oct 11, 2026, 7:50 AM ยท 1w ago
Views
15,582
+50 views/hour
Views / hour now
50
measured 2h ago
Peak views / hour
50
2h ago
First 24 hours
โ€”
not tracked from upload
Engagement
โ€”
likes + comments / views
Likes
โ€”
hidden
Comments
16
0.10% of views
Est. ad revenue
$16โ€“$47
lifetime, $1โ€“3 RPM

Checked every 12 h while the video is this age ยท last check 2h ago ยท next in 564 min. YouTube itself updates public counts with a short delay.

Avg views / day
1.6K
since upload
vs channel median
2.3ร—
this video's views รท the channel's usual
Rank in channel
#4
of 21 tracked

Views over time

2 readings

Total views Views gained per hour

Description

Baada ya Adana kunyimwa nafasi ya kushiriki mashindano ya kucheza, hatimaye maisha yake yanaanza kubadilika anapoingia ndani ya kasri la Mwanamfalme. Lakini safari yake ya kuelekea kwenye maisha ya kifalme haikuwa rahisi! ๐Ÿ‘‘โค๏ธ Miongoni mwa mabinti wanane waliochaguliwa, alikuwepo binti wa tajiri mkubwa sana nchini. Baada ya kutokuchaguliwa, baba yake alitumia pesa ili binti yake apate nafasi ya kujiunga na warembo saba waliokuwa wamechaguliwa. Alipoingia kasrini, alianza kujitamba kwa mali na utajiri wake. Esther, mmoja wa maboss wa Adana, alipoona hali hiyo, aliamua kumpeleka Adana kasrini ili amsaidie katika mashindano mbalimbali. Lakini jambo lisilotarajiwa likatokea! Mwanamfalme alianza kumpenda Adana na kumfuata kila mahali. Adana alijaribu kumkimbia, lakini kadiri siku zilivyopita, wawili hao wakazoeana na kuwa karibu sana. Ukaribu wao ulianza kuwashangaza na kuwaumiza warembo wengine waliokuwa wakipambania nafasi ya kuwa mke wa Mwanamfalme. Je, Adana ataweza kushinda mashindano hayo? Je, warembo wengine watakubali kuona kijakazi akipendwa na Mwanamfalme kuliko wao? ๐ŸŽฌ Tazama hadithi hii hadi mwisho ili ujue kitakachotokea! โค๏ธ Usisahau: ๐Ÿ‘ Kuweka LIKE ๐Ÿ’ฌ Kuandika maoni yako ๐Ÿ”” KUSUBSCRIBE na kuwasha kengele ya taarifa ๐Ÿ“ฒ Kushare video hii na marafiki zako Karibu kwenye hadithi nyingine tamu yenye mapenzi, wivu, usaliti na maisha ya kifalme!#Adana #HadithiZaKiswahili #HadithiZaKifalme #HadithiZaMapenzi #Mwanamfalme #Kijakazi #AfricanStories #SwahiliStories #AfricanFairyTales #HadithiZaKusisimua #MapenziYaKifalme #RoyalLoveStory #SummyStories

Statistics from the YouTube Data API, tracked by FameX. Views per hour, revenue and comparisons are FameX estimates.